Showing posts with label WACHEZAJI. Show all posts
Showing posts with label WACHEZAJI. Show all posts

25 August 2015

NIMEKUSOGEZEA PICHA ZA JUMBA JIPYA LA C.RONALDO

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Jumba hilo ambalo amelinunua siku chache kwa dola milioni 18 sawa na bilioni 30 za kitanzania.

jumba hilo ambalo lipo marekani new york limempa rumous CR7 ya kuwa anataka kwenda kumalizia mpira wake nchini huko kabla hajastaafu.
Ronaldo-main
Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hiyo alilipata kutoka katika novel ya’50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mapngo wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka.
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (2)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (1)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment
Trump-Tower-on-Fifth-Avenue
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (6)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (5)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (4)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (3)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (9)
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (8)
Ukiwa juu muonekano wa maeneo jirani
Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (7)
Chumba cha kulala

13 August 2015

(PHOTO) NIMEKULETEA MASTAR HAWA WA MPIRA WALIOHAMIA TIMU NYINGINE NA MUONEKANO WAO WA JEZI ZAO MPYA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Ikiwa ndo rekodi ya msimu huu 2015/16 lakini bado usajili unaendelea hatuwezi jua itakuaje mbeleni.

ila leo nimekuletea hawa wachache waliohamia matimu mengine wacheki.


angle di maria aliyetoka man u na kwenda psg kwa pauni 44m


Raheem srerling akiwa na timu yake mpya ya Man city akitokea liverpool kwa pauni 43.7m

aston villa ikimuuza benteke liver pool pauni 32.5m


vidal akitokea juventus kwenda bayern kwa pauni 29.5m



10 August 2015

HATIMAE RAMOS ATAONGEZA MKATABA REAL

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO




Beki wa kati wa klabu ya Real Madrid Sergio Ramos anatarajia kusaini mkataba mpya na klabu yake mpaka kufikia alhmis ya wiki hii baada ya kufikia muafaka na uongozi wa klabu hiyo katika mazungumzo ambayo yamedumu kwa muda wa mwezi mzima.
Kusaini kwa mkataba mpya kwa beki huyu kunafikisha ukomo kwa tetesi kadhaa ambazo zilimhusisha na kuihama Real Madrid huku Manchester United ikitajwa kuwa timu ambayo ingemsajili.
Beki huyo ameteuliwa kuwa nahodha mpya wa Madrid baada ya kuondoka kwa Iker Casillas na kwa nyakati tofauti rais wa klabu Florentino Perez
 na kocha Rafa Benitez wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa mchezaji huyo kwa timu hiyo na kuwa hatauzwa kwa bei yoyote ile.

Ramos alidaiwa kutoridhishwa na mshahara wa Euro milioni 6 kwa mwaka ambao amekuwa akiupata kiwango ambacho mwakilishi wake na kaka yake Rene Ramos amekuwa akisisitiza kuwa hakilingani na mchango wa beki huyo kwa Madrid katika miaka ambayo ameitumikia .

6 August 2015

MANCHESTER UNITED: TUMEMRUHUSU DI MARIA


Kupitia ukurasa wa man u wa instagram wameshare na mafans wao picha na kuopost kuwa dimaria amesha kamilisha kila kitu kwa ajili ya kwenda PSG.

Man u wamempeleka Angel Di maria kwa ada ya pauni Mil.44, baada ya mwaka mmoja tangu atue manchester akitokea madrid kwa paund Mil.59.7

1 August 2015

MTOTO WA VAN DER SAR ARITHI MIKOBA YA BABA YAKE

video ya joe van der sar
JOE VAN DER SAR ni mtoto wa goli kipa wa zamani wa man u na uholanzi ambaye mwanaye pia ameanza kukamata mikoba ya baba yake katika nafasi aliyokuwa anacheza baba yake ya ugolikipa.

19 July 2015

VIDAL vs GOTZE Bayern

 

Kuna mazungumzo baina ya timu mbili beyrn munch na juventus;

Bayern imeonesha nia ya kumtaka kiungo wa juve, arturo Vidal,lakini klabu hiyo ya Italia imekata na kusema wa fanye mabadilishano kati ya vidal wa juventus na Gotze wa barcelona.

Mtangao wa Tuttosport umesema kama mambo yataenda sawa biashara hiyo itafanyika muda wowote katika kipindi hiki cha kiangazi cha usajili. 

STERLING AWAOMBA RADHI LIVERPOOL


Raheem sterling amewaomba radhi mashabiki wa liverpool kwa kitendo chake cha kuondoka bila ustaarabu.
lakin amesisitiza kuwa ataifanyia makubwa timu yake mpya ya man city.

sterling 20,aliyehamia manchester city mapema wiki hii  kwa kitita cha pauni milioni 49 ambacho kimemfanya kuweka rekodi yakuwa mchezaji mwingereza ghali zaidi ,hakuondoka kistaarabu katika kilbu yake ya Anfield. 

MAN UNITED YAJITOSA KWA PEDRO

 

Klabu ya man u imepanga kumchukua kiungo wa barcelona kwa kitita cha pauni millioni 22.

kwa mujibu wa gazeti laDaily mirror la ungreza , man u wameonesha nia ya kumtaka kiungo huyo mwenye miaka,27 ambaye pia anawaniwa na chelsea 

POGBA AKILI YAKE IPO BARCELONA 

 

Kiungo wa juventus paul pogba,22, ataitupilia mbali ofa ya Manchester united ilio mezani kwake, na badala yake kutimkia barcelona kama ndoto zake zitatimia.
Imeripotiwa katika gazeti la The sun kuwa pogba atafanya maamuzi hayo pindi tu raisi wa sasa wa Barca , Joan laporta atashinda uchaguzi. 

DROGBA ANG'AA

 

Staika wa zamani wa chelsea Didier Drogba ,37,amepata ofa ya kutaka kusajiliwa na timu za ligi ya Marekani, Major League .
KAtika msimu huu wa kiangazi , lakini klabu tajiri nchini Qatar pia  zinaonesha nia za kumtaka, umeripoti mtandao wa ESP.

Drogba aliachana na chelsea mwaka huu baada ya kumaliza kwa msimu uliopita wa ligi kuu England.