Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

20 October 2016

VIATU(CHACHACHA) VYA ERIC BAILLY VYAMSHANGAZA JUAN MATA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Wachezaji wa Manchester United, Juan Mata na Ashley Young wamejikuta wakivishangaa viatu vya beki wa kati wa timu hiyo Eric Bailly, ambavyo kwa huku bongo tunaviita “Chachacha” na kumfanyia utani wa kuvituma kwenye mitandao ya kijamii.Viatu hivyo walivipost katika mtandao wa instagram.

22 August 2015

NIMEKUSOGEZEA PHOTO ZA PROFESA JAY KATIKA HATAKATI ZAKE ZA SIASA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
JOSEPH HAULE aka prf jay mpaka sasa amechukua fomu na kurudisha ya kugombea ubunge wa jimbo la mikumi.

leo nimeamua kukupa maphoto makali yake mwanasiasa huyo zicheki kisha toa maoni yako.

Embedded image permalink
Hapa akilonga kupata uzowefu wa siasa na mh lowassa
Embedded image permalink
hapa akiwa kwenye kujinadi kwa wananchi wake

Embedded image permalink

Embedded image permalink
Hapa akiwa kwenye mkutano wa chama chake cha chadema.
Embedded image permalink
Embedded image permalink
hapa akiwa anarudisha fomu

14 August 2015

JE WAJUA JINSI YA KUZUIA CHAFYA MBELE YA UMATI WA WATU??

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Chafya na moja ya mambo yanayofanyika mwilini kama njia muja wapo ya kuondoa taka mwili zitakazo ingia kwa njia ya pua.

Lakini chafya hiyohiyo ambayo yaweza kuwa karaha kwa wenzio pale utakapo ipiga mbele zao na baadhi ya chembechembe za mate ulizoshindwa kuzizuia zikawarukia.

Basi leo nimekuletea hii njia ya kuizuia chafya pale utakapo hisi sehemu uliopo sio mahala pake husika kwa kuiachia,na pale chafya utakapo hisi inakuja na wewe chukua uwamuzi wa kumeza mate kitendo hicho cha kumeza mate kitafanya chafya hiyo kupotea mara moja.

Jaribu hii ujionee mwenyewe halafu tupia maoni yako hapa:)

11 August 2015

VANESSA NA PLATINUMZ WATAJWA KWENYE TUZO ZA CANADA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Tukiachana na tuzo zilizo tolewa hivi karibuni zilizo tolewa south(MTV MAMA 2015).

Wawili hawa wametajwa tena kuwania tuzo zijulikanazo kama Africa Entertainment Award(AEA)za nchini CANADA.

Vanessa ametwajwa kuwania kipengele cha International best african female artist, ambapo atachuana na victoria kimani wa kenya na yemi alade na seyi shay wa Nigeria.

Diamond ye atapambana katika category ya International best african male artist,ambapo ye atachuana na AKA wa africa kusini,sarkodie wa ghana na olomide wa nigeria.

Tuzo hizo zitatolewa siku ya jumamosi  5 september 2015 jijini Missisauga,ontario ambao itakuwa ni mwaka wanne kwa kutolewa tuzo hizo.

16 July 2015

DIAMOND NA VANESSA MDEE KUIPAISHA TANZANIA NJE


 

Ni Africa Entertainment Awards (AEA)

Tuzo za mwaka huu zipo njiani zikiwa na vipengele 27 na habari njema ni kwa TZ wasanii wetu wapo pia.

Diamond platnumz na Vanessa mdee.

Ni wasaii pekee Tanzania walio pata nafasi ya kuwakilisha katika tuzo hizo

 

Diamond Platnumz anawania tuzo ya Hottest male single of the year,pamoja na Best male artist of the year.

Huku vanessa mdee akiwania tuzo ya Best Female artist of the year.

Tuzo zitafanyika katika ukumbi wa mary burch theater.

kura yako ni muhimu kwa mTanzania mwenzetu