16 July 2015

DIAMOND NA VANESSA MDEE KUIPAISHA TANZANIA NJE


 

Ni Africa Entertainment Awards (AEA)

Tuzo za mwaka huu zipo njiani zikiwa na vipengele 27 na habari njema ni kwa TZ wasanii wetu wapo pia.

Diamond platnumz na Vanessa mdee.

Ni wasaii pekee Tanzania walio pata nafasi ya kuwakilisha katika tuzo hizo

 

Diamond Platnumz anawania tuzo ya Hottest male single of the year,pamoja na Best male artist of the year.

Huku vanessa mdee akiwania tuzo ya Best Female artist of the year.

Tuzo zitafanyika katika ukumbi wa mary burch theater.

kura yako ni muhimu kwa mTanzania mwenzetu  

No comments: