16 July 2015

CRIS BROWN AVAMIWA NYUMBANI KWAKE 

 Maafisa wamesema kuwa washukiwa hao walikuwa watatu wakiwa na bunduki huku nyuso zao wakiwa wamezifunika 

Walivamia nyumbani kwa star huyo wa miondoko ya POP na kumfungia chumban shangazi yake.

washukiwa hao walipekua nyumba na kuondoka na kiasi cha pesa na vitu binafisi vilivyo kuwepo ndani yake .

bado haijafahamika kiasi taslim walichochukua .

muda wote wa tukio hilo cris brown hakuwepo nyumbani,alikuwepo anavinjari club

No comments: