Al shabab wshambuliwa viongozi wao 2 wauawa kwa bomu
Viongozi wawili wa kundi la kiislam wameuawa kwenye mashambulio ya mabomu ya angani
watu waishio katika mji wabaardhere olioko kusini mwa nchi hiyo wamesema walisikia milipuko asubuhi ya leo katika eneo hilo
mabomu hayo yaliangushwa kutoka angani na ndege za kivita na wanajeshi wamarekani
No comments:
Post a Comment