Showing posts with label MASTAR BONGO. Show all posts
Showing posts with label MASTAR BONGO. Show all posts

27 August 2015

PICHA YA DIAMOND AKIWA LAGOS NIGERIA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Picha hiyo ambayo ameipost twitter na kusema ameingia leo asubuhi lagos nigeria


  1. Earlier today in Lagos Nigeria.. Cc
  2. Earlier today in Lagos Nigeria.. Mapema leo Lagos Nigeria... Cc
  3. Earlier today in Lagos Nigeria.. Cc @ml_eight

PHOTO DIAMOND NA ZARI WAKISAFISHA NYUMBA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Usafi huo ulihusika kuanzia ndani mpaka nje


25 August 2015

DIAMOND VS ZARI VS TIFFA WAKIWA CHUMBANI KWAO PHOTO

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Baada ya bibie zari aka mama tiffa kujiona hana kazi ya kufanya basi ndipo alipo amua kujipiga maselfie na kutufikia MMANGA TEAM, basi nimeamua kukusogezea mtu wangu wa karibu.





15 August 2015

ZARI AONESHA MDOMO WA MTOTO WA DIAMOND

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO




NA KUPOST HIVIII





KIBA AKIRI KUFANYA KAZI NA NEYO

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Kama ilikuwa watu wanasema tu kuwa kiba atafanya kazi na neyo msanii wa marekani basi kiba kaamua nayeye kufunguka kupitia account yake kwa kusema hivi.

Haya kayaandika Ali Kiba "I Am Truly Excited To Be Working With An Artist That I Have Great Respect For ...Not Only As A Multi Grammy Award Winning Musician But An Excellent Song Writer, Record Producer, Dancer & Actor"

10 August 2015

DIAMOND AZIDI KUPHOTO NA MWANAWE TIFA (photo)

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Tangu star huyo wa bongofleva apate mtoto kupitia mpenziwe zari.

platnumzi amekuwa akipost picha za mwanae mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii

zicheki hizi zingine kali na wewe share pia





6 August 2015

DIAMOND AONESHA CHUMBA CHA MWANAWE MTARAJIWA

Baada ya platnumz kueleza kuwa anatarajiwa kuitwa baba hivi karibuni,na kusema kuwa mungu kama atajaalia atakuwa mtoto wa kike.

basi leo hii ameamua kushare video hii ya second 15 akionesha jinsi chumba cha mwanae jinsi walivyo kiandaa,huku diamond akiwa ameshikilia viatu vya mtoto mtarajiwa.

5 August 2015

(VIDEO) DIAMOND AIONESHA WASAFI STUDIO ILIOPO SINZA NA KUTOA OFFER


Kupitia account yake ya fb platnumz ameposti video inayo muonesha akirekodi nyimbo iliosikika na masikitiko ndani yake.

licha ya hicho ametoa offer kwa wenye vipaji kufika studio na kurecod nyimbo bureee

tazama video hapo chini na tupia maoni yako.

4 August 2015

SIKILIZA SAUTI YA NUHU MZIWANDA AKIMTONGOZA WEMA SEPETU NI NOMAAA

inasemekana wema sepetu ndo aliyevujisha clip hii sikiliza mazungumza mazungumzo yao haya hapa.
Katika sauti hiyo wema asikika kuonesha msimamo wa kutomkubali nuhu kwa kigezo kuwa ni shemeji yake.Tatoo za nuhu za tajwa.
Sikiliza maswaga ya nuhu mziwanda halafu tupia maoni yako hapo umeyaonaje hayo maswaga.