16 July 2015

MWEZI WAONEKANA 

 

Leo 16/7/2015 , kwa mujibu wa taarifa kutoka redio iman.

Kuwa mwezi umeonekana maeneo ya kondoa,tandaimba na rufiji nchini Tanzania 

Na nje ya Tanzania mwezi umeonekana nchini china na afrika  mashariki

inawatakia Idd l fitry njema 

No comments: