MZEE YUSUPHU ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE KISIWANI ZANZIBAR
Mwimbaji huyo wa taarabu hivi karibuni alitangaza kuwa anania ya kugombea ubunge.
Na sasa ameshatimiza kwani ameshachukua fomu kupitia chama tawala cha CCM
Jimbo ambalo analiwakilisha ni jimbo la fuoni
alituarifu mzee kwenye ukurasa wake wa instagram
chanzo Milladayo.com



No comments:
Post a Comment