17 July 2015

R.I.P BANZA STONE


 

Jina lake kamili ni Ramadhan Masanja.

mwanauziki maarufu Tanzania leo hii hatunae tena duniani kwa mujibu wa kaka yake, Juma masanja.

banza amefariki nyuman kwao sinza mchana huu

mungu ailaze mahala pema duniani

 

ni haki yako kukuletea habari kwa muda muafaka.

 

No comments: