NIGERIA YAPATA MILIPUKO IKISHEREKEA EID
Jeshi la nchi ya nigeria limesema takribani watu 9 wameuawa katika shambulio hilo la kujitoa muhanga lililotokea kusini mashariki mwa nchi, Damaturu.
Mashuhuda wengine wanasema kuwa washambuliaji wote walikuwa wanawake mmoja mkubwa na mwingine mwenye umri mdogo.
Ripori zinasema idadi kubwa ya watu wamejeruhiwa.
Mashambulizi kama hayo hulaumiwa kundi la kiislam la Boko Haram, ambalo limeongeza mashambulizi yake tangu Rais Muhammad Buhari aingie madarakan.
ni haki yako kukuletea habari

No comments:
Post a Comment