SERGIO HAONDOKI REAL MADRID
Mkurugenzi Rafaeli benitez amesema kuwa nimemuona kuwa Ramos kama kiungo muhimu kwangu hivyo kwa msimu huu hatoweza kuondoka.
Raisi wa real madrid amesema kuwa amekaa na Ramos kwa muda mrefu na kuongea nae na jibu ni kuwa bado atabaki real.
No comments:
Post a Comment