18 July 2015

SAMSUNG YAZINDUA SIMU NYEMBAMBA ZAIDI


 

 Simu hiyo samsung Galaxy A8 ambayo inaupana wa milimita 5.9 
ikiwa ni wembamba asilimia 85 ikilinganishwa na simu GalaxyS6 Edge.


Kwasasa simu hiyo itauzwa nchini Uchina na Singapore.
Na haitauzwa Uingereza.

kampuni nyingne za Uchinani zimeshaanza kutengeneza simu kama hiyo.

No comments: