18 July 2015

DUKA LA WESTGATE KUFUNGULIWA LEO

 

Duka hilo lililopo mji mkuu  wa kenya, hatimae kufunguliwa leo tangu kufungwa kwake takriban miaka miwili.

Ambapo lilifungwa kutokana na shambulio la al shabab.

katika shambulio hilo liliuwa watu 67 katika makabiliano ya siku nne

 Duka hilo linefunguliwa takribani wiki sasa kufatia ziara ya Raisi wa Marekani Barack Obama.

Ziara hiyo imewapa upenyo Kenya kama ishara ya amani katika nchi hiyo inayo andamwa na al shabab.

 

No comments: