WANACHAMA 450 WA IS WAKAMATWA NA SAUDIA
Mamlaka ya nchini Saudia imesema imewakamata zaidi ya wana chama wa 450 IS(Islamic state).
Wizara ya maswala ya ndani imesema washikiwa hao ndio waliokuwa wanapanga kufanya ghasia,na kwamba mipango yao kadhaa wamesha ivuruga.
Kundi hilo limekiri kufanya mashambulio ya mabomu katika baadhi ya miskiti inayo swaliwa na dhehebu la washia mwa taifa hilo mnamo mwezi mei.
Watu 25 walikufa.

No comments:
Post a Comment