CLUB AMERICA YAFUNGWA NA MANCHESTER UNITED
Nipale kiungo mpya kutoka southampton kwa pauni millioni 25,pale alipopachika goli dakika ya tano tangu kuanza kwa mpra.
ambayo pasi safi alio pokea kutoka kwa juan mata.
wachezaji wapya walishiriki katika mechi hiyo.
Akiwemo schweinsteiger alieingia kipindi cha pili.
Katika mechi hiyo man u ilitoka na ushindi wa mabao 1-0.
No comments:
Post a Comment