Showing posts with label GENERAL NEWS. Show all posts
Showing posts with label GENERAL NEWS. Show all posts

4 September 2015

MIILI YA WANAJESHI UGANDA YAWASILI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Image captionMilili ya wanajeshi wa Uganda waliouawa Somalia
Miili ya wanajeshi 10 wa Uganda, waliouawa na wapiganaji wa al-Shabaab, nchini Somalia imesafirishwa nyumbani.
Msemaji wa jeshi, Kanali Paddy Ankunda, amesema shambulio hilo "limebadili mambo" na al-Shabaab wanafaa kutarajia "jibu lifaalo".
Wanajeshi 12 wa Uganda waliuawa kwenye shambulio hilo la Jumanne, kwenye kambi ya wanajeshi wa Muungano wa Afrika (AU) Kusini mwa Somalia.
Al-Shabaab walisema waliua wanajeshi 70 wa AU.
Wanajeshi wa Uganda wamo kwenye kikosi cha wanajeshi 22,000 cha AU, kinachokabiliana na wapiganaji hao nchini Somalia.
Image captionMilili ya wanajeshi wa Uganda waliouawa Somalia
Kwenye tamko la kwanza kabisa kutoka kwa jeshi la Uganda kuhusu shambulio hilo, Kanali Ankunda alisema kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter: "Hatutalegeza juhudi zetu za kusaidia kurejesha amani Somalia licha ya shambulio hilo." Hakutoa maelezo kuhusu miili ya wanajeshi hao wengine wawili waliouawa.
Ripoti nyingine zinakadiria wanajeshi waliouawa kwenye uvamizi huo katika kambi ya Janale, kilomita 90 Kusini Magharibi mwa mji mkuu Mogadishu, ni kati ya 20 na 50.
Wakazi wanasema shambulio hilo lilianza kwa shambulio la kujitoa mhanga lililotekelezwa kwa kulipua gari lililotegwa bomu kwenye lango la kambi hiyo, na kisha kukawa na ufyatulianaji wa risasi uliodumu zaidi ya saa moja.
Image captionMilili ya wanajeshi wa Uganda waliouawa Somalia ikiwasili
Licha ya kupoteza ngome nyingi kusini na kati mwa Somalia, al-Shabaab wameendelea kushambulia vikosi vya serikali na Muungano wa Afrika pande mbalimbali nchini humo.
Wapiganaji hao pia hutekeleza mashambulio ya mara kwa mara ya kujitoa mhanga Mogadishu.
Image captionMilili ya wanajeshi wa Uganda waliouawa Somalia wakati ilipowasili Uganda

1 September 2015

HEKALU LA PALMYRA LAHARIBIWA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Umoja wa Mataifa, umesema kuwa picha zilizonaswa na satelite zimethibitisha kuwa hekalu kuu katika mji wa kale wa Palmyra, Kaskazini mwa Syria, umeharibiwa.
Ripoti zaidi zinasema kuwa kumetokea mlipuko, katika hekalu ya Bel iliyoko mjini Palmyra, ambao unathibitiwa na wanamgambo wa Kiislamu wa Islamic State, IS.
Wataalamu wa kuchunguza picha za satelite wa Umoja wa Mataifa, Unosat, wamesema kuwa picha hizo zinaonyesha kuwa hekalu hiyo imeharibiwa kabisa.
Mkurugenzi wa Unosat, Einar Bjorgo ameiambia BBC kuwa, picha walizonasa zimeonyesha kuwa jengo kuu la hekalu hiyo imeharibiwa kabisa.
Amesema minara iliyokuwa karibu na jengo hilo pia zimeharibiwa.
Mtu mmoja anayeishi karibu na hekali hiyo, ameiambia BBC kuwa ukuta unaozunguka hekalu hiyo na lango kuu ndizo zimesalia.
Image copyrightReuters
Image captionHekalu la Palmyra

30 August 2015

AJALI DARAJA LA WAMI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Maelfu wa abiria wamekwama kutokana kwa kugongana kwa mabasi hayo mawili katika daraja hilo la wami







27 August 2015

SALVA KIIR AONYWA NA MAREKANI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO


Marekani imemuonya salva kiir kuheshimu na kuulinda mkataba wa amani aliosaini jumatano mjini juba.

Kiir alikuwa amekataa kusaini mkataba huo wiki iliopita mjini adsi ababa nchini Ethiopia.

salva ameeleza kuwa na wasiwasi wa mkataba huo wa amani katika kugawana madaraka na waasi.

mkataba huo unanuiwa kumaliza mizozo kati yake na waaasi.

Na usitiswaji wa mapigano hayo unapaswa kumaliza mapigano ndani ya masaa 24, na majeshi ya kigeni kuondoka nchini humo.

hakuna wanajeshi watakao ruhusiwa kufika katika mji mkuu juba

26 August 2015

JIJI LA WAZUIA UKAWA KUFANYA MKUTANO WAO JANGWANI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

 UKAWA Wazuiwa kuzindua kampeni Jangwani
Jiji la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea wa
UKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni
yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi
ya 29 Agosti , 2015 .
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA , James Mbatia
amesema jiji umewagomea kufanya uzinduzi
huo Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu
mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo.
Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi za
kuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo ili
wazungumze naye , Jiji walikataa.
Mbatia anasema viongozi wengine wa UKAWA
wanashughulikia suala hilo ikiwa pamoja na
kumtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,
Damian Lubuva kuingilia kati.

HAPPY BIRTHDAY LOWASSA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Mastaa na viongozi mbalimbali wanaomsapoti lowasa wameonekana wakimpongeza siku yale ya kuzaliwa kwake kwa kupost picha hii kwenye account zao za mitandao

SALVA KIIR AKUBALI KUTIA SAINI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema kuwa ataweka sahihi ya makubaliano ya amani siku ya jumatano baada ya kukataa kufanya hivyo wiki iliopita.
Msemaji wa Salva Kiir amesema kuwa rais huyo ataweka sahihi yake ya makubaliano hayo katika mji mkuu wa Juba mbele ya viongozi wa eneo hili.
Salva Kiir anakabiliwa na vikwazo pamoja na kikwazo cha umoja wa mataifa cha kutonunua silaha baada ya kukataa kuidhinisha makubaliano hayo.
Mpinzani wake ambaye ndio kiongozi wa waasi Riek Machar tayari ameweka sahihi mkataba huo ili kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyochukua miezi 20.

UNAAMBIWA MATUMIZI YA UZAZI WA PANGO UNAONGEZEKA JAPO NI KIDOGO SANA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Hii ni takwimu inayoonyesha jinsi matumizi hayo yanavyoongezeka icheki kisha toa maoni yako

22 August 2015

IRAN YAZINDUA KOMBORA LAKE JIPYA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo imezindua kombora jipya lenye usahihi wa juu na linalotumia fueli mango ambalo limepewa jina la Fateh 313.
Kombora hilo la teknolojia ya kisasa kabisa lina uwezo wa kulenga shabaha umbali wa kilomita 500 na limetengenezwa na wataalamu wa Taasisi ya Viwanda vya Anga katika Wizara ya Ulinzi ya Iran. Kombora hilo ambalo limeshafanyiwa majaribio kwa mafanikio limezinduliwa katika sherehe iliyohudhuriwa na Rais Hassan Rouhani kwa mnasaba wa Siku ya Kitaifa ya Viwanda vya Ulinzi.
Kombora la Fateh 313 ni kizazi cha kisasa kabisa cha makombora ambayo yanatumia fueli mango na yenye chombo erevu cha kulenga shabaha kilichotengenezwa hapa nchini.
Katika miaka ya hivi karibuni Iran imepata mafanikio makubwa katika sekta ya ulinzi ambapo sasa inajitosheleza katika uzalishaji wa zana na mifumo muhimu ya kijeshi. Iran imesisitiza mara kadhaa kuwa uwezo wake mkubwa wa kijeshi si tisho kwa nchi zingine bali sera zake za kijeshi zimejengeka katika msingi wa kujihami.

17 August 2015

ICHEKI HII YA MABASI YAENDAYO KASI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Ni leo augost 17 2015 ndani ya dar kwa lile tulilokuwa tunalisubiria kwa hamu wengi wetu leo kuzinduliwa rasmi kwa mabasi yaendayo kwa kasi kuanza route zake za kivukoni hadi kimara ambapo leo wananchi wa dar wanayafurahia kwa kupanda bure bila kutozwa nauli.



BADO NI HAI: SHEKAU WA BOKO HARAM ANENA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Kiongozi wa Boko Haram, Abubakar Shekaru

Kiongozi wa kundi la kiislamu la nigeria, amefunguka na kusema bado yu hai na wala hajauwawa wala kuondolewa katika uongozi wala kuugua au kulemaa.

Juma lililopita Rais wa Chad,Idriss deby,alisema kuwa boko haram wamechaguwa kiongozi mpya na kuzusha tetesi kuwa,kiongozi wao shekau ameuawa.

Ujumbe wa shekau uliwekwa aktiak mitandao,na ulilengwa kwa kiongozi wa Islamic State,Abu bakr al-bakhdad.

Awali mwaka huu, boko haram ilisema kuwa ni tiifu kwa IS.

NTAKULETEA HABARI ZA UHAKIKA KILA SIKU

SUDANI KUSINI YAKARIBIA KUTIA SAINI MKATABA WA AMANI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Bendera ya Sudan Kusin

Rais silva kiir wa sudan kusini yupo Ethiopia kwa mazungumzo ya kusaini mkataba wa amani wa kusitisha vita iliodum mwaka mmoja na nusu.

Viongozi wa serikali na wapiganaji wanakabili vikwazo vya kimataifa endapo watashindwa kusaini mkataba wa amani mpaka ifikapo jumatatu.

Maraisi wa uganda,kenya,ethiopia wanashiriki pia katika makubaliano hayo.

Redio na tv za ethiopia za taifa zimesema makubaliano yana karibiwa kutiwa saini.

15 August 2015

PHOTO LOWASA ALIVYO POKELEWA ARUSHA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



KENYA YAHARIBU BOTI ILIOPATIKANA NA HEROIN

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



BABY IRIS, ndiyo jina la boti hiyo ilioharibiwa kwa vilipuzi baada ya serikali ya kenya kuikamata ikiwa na kilo 7 za heroin.

Polisi wamesema kuwa boti hiyo inamilikiwa na bwanyenye raia wa ungereza.

Boti hiyo ilikamatwa katika bahari ya kenya huko mombasa na imeharibiwa kutokana na sheria za kenya.

jeshi la wanamaji ndiyo imekabidhiwa zoezi hilo la kuiripua boti hiyo, na ilifanya kiadilifu baada ya kuiwekea vilipuzi na kuilipua.

BENDERA YA MAREKANI YAPANDISHWA TENA CUBA BAADA YA NUSU KARNE

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Ubalozi wa marekani umefunguliwa huko cuba baada ya miaka 50 kufungwa, na siku hiyo ndiyo walio ipandisha bendera ya marekani katika ubalozi

John Kerry ndiye aliyekuwa mweheshimiwa mgeni rasmi.katika sherehe hiyo.

Sherehe hizo zilifanyika mjini Havana.

Rais Obama na mwenzake wa cuba Raul cstrol ndiyo waliokubaliana kuurudisha ubalozi huo mwaka jana.


14 August 2015

PARAGUAY: BINTI MDOGO AJIFUNGUA MTOTO

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO


Binti wa miaka 11 nchini paraguay amepata mtoto aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo, baada ya serikali ya nchi hiyo kumzuia asitoe mimba hiyo.

Madaktari wa nchi hiyo mji mkuu Asoncion wamesema binti na mtoto wanaendelea vizuri baada ya kujifungua kwa upasuaji.

Paraguay ni taifa linalo amini imani ya katoliki, ambapo mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake inapokuwa hatarini.

Binti huyo alibakwa akiwa na miaka 10 na baba yake wa kambo akiwa na miaka 42 kwa sasa yupo rumande akisubiri kutajwa kwa kesi yake hiyo.Baba huyo amekanusha kufanya kitendo hicho.

13 August 2015

BAN KIN MUN AMFUTA KAZI MKUU WA KULINDA AMANI (UN) AFRICA YA KATI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Naibu katibu wa umoja wa mataifa bwana ban kin mun amsema kuwa amemfukuza aliyekuwa mlinda amani wa UN africa ya kati baada ya kutuhumiwa na unyanyasaji wa watoto kingono.

Ban kin mun alisema kuwa alipatwa na hasira na aibu baada ya kusikia taarifa hizo za unyanyasaji watoto kingono.

Taasisi ya haki za binadam inawatuhumu wanajeshi hao wa kulinda amani kwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka kumi na mbili na kumuua kijana na baba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui.

Uchunguzi unaendelea dhidi ya wanajeshi hao wa UN dhidi ya unyanyasaji wa wanajeshi wa ufaransa mwaka jana.

12 August 2015

SYRIA:MAKUBALIANO YA AMANI KWA MASAA YA YATEKELEZWA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO


Makubaliano ya amani ya kusitisha mapigano kwa masaa 48 yameanza kufanyiwa kazi kati ya waaasi muungano syria na vikosi vinavyo iyunga mkono serikali katika miji mitatu.

Makubaliano hayo yamenuiwa kwa kuruhusu kusafirisha chakula na dawa katika eneo linalodhibitiwa na waasi la zabadani katika mpaka wa lebanon na katika vijiji kaskazini mwa nchi inayodhibitiwa na jeshi la syria.

Shirika la kutetea haki la syria linasema makubaliano hayo yameafikiwa kati ya serikali na vikosi vinavyo iunga mkono Iran na kwa upande wa waasi na Ahral al-sham,mshirika wa kundi la Al nusra front.

TAARIFA KWA SERIKALI KUWEPO NA MGONJWA ANETOKWA NA DAMU MKOANI KIGOMA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII 
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MGONJWA ANAYEHISIWA KUWA NAUGONJWA WA KUTOKWA DAMU MKOANI KIGOMA
Utangulizi
Ugonjwa wa Ebola umeendelea kuenea katika nchi za Afrika ya Magharibi ambapo hadisasa nchi tatu ambazo ni
Guinea, Liberia na Siera Leone, zieen!elea "utoa taari#aza $agon%$a $a&'a( Ai!)a&a"a tare)e *+ Julai -*., i!a!i 'a $agon%$a$aliot)ibiti/)$a "u$a na ugon%$a )uu ni 0,0-. na 1i#o **,2+( Wizara 'a A#'a naU/ta$i $a Jaii ie%ian!aa 1'ea "u!)ibiti ugon%$a )uu i$a&o utaingia n3)inii"i$a ni &ao%a na "utengeneza &ango "azi $a u!)ibiti $a ugon%$a )uu $aia"a itatu "uanzia -*. )a!i -*0(Hi/toria 'a Mgon%$a
Mnamo tarehe 9 Agosti 20!" mgonjwa mwenye umri wa miaka #9 kutoka katika kambiya wakimbizi ya $yarugusu alipokelewa katika hospitali ya Mkoa wa %igoma Maweniakiwa na dalili za kutokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili hasusan kwenye fizi"macho na masikio& 'ile (ile alikuwa na dalili za kuchoka na mwili kuwasha& Mgonjwahuyu hakuwa na homa& Alipata matibabu katika hospital hiyo na kwa bahati mbayamnamo tarehe 0 Agosti" 20! mgonjwa huyu alifariki dunia& Mgonjwa huyu alikuwahana historia ya kusafiri kutoka nje ya mkoa wa %igoma wala kutembelewa na mtualiyesafiri kutoka nchi za Afrika Magharibi zenye ugonjwa wa Ebola&Mgonjwa huyu alikuwa ni mkimbizi wa kutoka nchi ya )urundi ambaye ameishi katikakambya $yaruguskwmiakmitatuMgonjwhuyalikuwmmojawapo wawakimbizi waliokuwa wasafirishwe katika mpango wa kawaida chini ya *hirikla%imataifa linalohudumia wakimbizi kwenda Marekani& *afari hiyo ilikuwa ianze tarehe 9 Agosti 20!&
Hatua zilizo3)u"uli$a
&Mgonjwhuyalipatiwmatibabu katikhospitali ya Maweni %igommpakamauti ulipomkuta&2&Uongozi wa Afya %igoma unafuatilia ndugu wa karibu wa mgonjwa huyu" pamojana wahudumwAfywaliomuhudumia mgonjwhuykuonkama

11 August 2015

BURUNDI YATAKIWA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UPINZANI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Rais wa burundi piere nkurunziza

UN imeitaka serekali ya burundi kuanzisha tena mazungumzo na upinzani.tamko hilo lilitoka katika mkutano ulioitishwa na ufaransa jana.

Hali imekua ikizidi kuzorota kila kukicha katika eneo la maziwa makuu.

Kuzorota kwa nchi hiyo na kutokuwa na hali ya usalama kumesababishwa na rais NKURUNZIZA kutangaza kugombea kwa muhula wa tatu ambao upinzani imepinga kwani ni kinyume na katiba inavyosema.

teyari nkurunziza ameshapita tena na kurudi madarakani kwa muhula wa tatu.