13 August 2015

BAN KIN MUN AMFUTA KAZI MKUU WA KULINDA AMANI (UN) AFRICA YA KATI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Naibu katibu wa umoja wa mataifa bwana ban kin mun amsema kuwa amemfukuza aliyekuwa mlinda amani wa UN africa ya kati baada ya kutuhumiwa na unyanyasaji wa watoto kingono.

Ban kin mun alisema kuwa alipatwa na hasira na aibu baada ya kusikia taarifa hizo za unyanyasaji watoto kingono.

Taasisi ya haki za binadam inawatuhumu wanajeshi hao wa kulinda amani kwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka kumi na mbili na kumuua kijana na baba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui.

Uchunguzi unaendelea dhidi ya wanajeshi hao wa UN dhidi ya unyanyasaji wa wanajeshi wa ufaransa mwaka jana.

No comments: