
Chafya na moja ya mambo yanayofanyika mwilini kama njia muja wapo ya kuondoa taka mwili zitakazo ingia kwa njia ya pua.
Lakini chafya hiyohiyo ambayo yaweza kuwa karaha kwa wenzio pale utakapo ipiga mbele zao na baadhi ya chembechembe za mate ulizoshindwa kuzizuia zikawarukia.

Basi leo nimekuletea hii njia ya kuizuia chafya pale utakapo hisi sehemu uliopo sio mahala pake husika kwa kuiachia,na pale chafya utakapo hisi inakuja na wewe chukua uwamuzi wa kumeza mate kitendo hicho cha kumeza mate kitafanya chafya hiyo kupotea mara moja.
Jaribu hii ujionee mwenyewe halafu tupia maoni yako hapa:)
No comments:
Post a Comment