POGBA AKILI YAKE IPO BARCELONA
Kiungo wa juventus paul pogba,22, ataitupilia mbali ofa ya Manchester united ilio mezani kwake, na badala yake kutimkia barcelona kama ndoto zake zitatimia.
Imeripotiwa katika gazeti la The sun kuwa pogba atafanya maamuzi hayo pindi tu raisi wa sasa wa Barca , Joan laporta atashinda uchaguzi.

No comments:
Post a Comment