5 August 2015

(VIDEO) DIAMOND AIONESHA WASAFI STUDIO ILIOPO SINZA NA KUTOA OFFER


Kupitia account yake ya fb platnumz ameposti video inayo muonesha akirekodi nyimbo iliosikika na masikitiko ndani yake.

licha ya hicho ametoa offer kwa wenye vipaji kufika studio na kurecod nyimbo bureee

tazama video hapo chini na tupia maoni yako.

No comments: