5 August 2015

MAN U YAELEKEZA MAJESHI KWA BEKI HUYU BAADA YA KUKATA MATUMAINI YA KUMPATA RAMOS

Baada ya man u kumhitaji beki wa real madrid kwa muda mrefu bila ya mafanikio,kutokana na timu hiyo ya real iliopo hispania kutokubali kumuachia beki huyo wa real.

Man u wamekatika moyo baada ya Rais wa real madrid Florentino perez kutangaza kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba na sergio ramos.

Man u wameonesha kuelekeza majeshi yao kwa beki wa hali ya juu mwengine katika timu hiyohiyo ya ligi ya hispania.

Baada ya kumuoneshea kidole fereila pepe ambaye amebakiza mkataba wa mwaka mmoja,licha ya kuwa bado real madrid kuonesha nia ya kutaka kuongeza mkataba wake na beki huyo wa kireno.

MAn u bado wamesimama katika msimamo wao wa kutaka pepe ahusishwe katika uhamisho wa golikipa wa man u DE gea katika uhamisho wao.Kama ilivyokuwa kwa beki Ramos.

No comments: