4 August 2015

JOHN POMBE MAGUFULU KUCHUKUA FOMU NEC KWA KISHINDO

Akiwa na mgombea mwenza ndugu samia hassan wakionesha fomu ambazo wameshachukua kutoka ofisi za NEC jijini dar es salaam leo hii 8/4/2015

katika kurejea katika ofisi kuu ya CCM iliopo lumumba jijini dar es salam, john magufuli na samia hassan walisindikizwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wake.

Msafara huo ulipokelewa na mwenyekiti dr.jakaya kikwete, katibu mkuu abdulrahman kinana akiwepo pia wakimlaki john na samia

No comments: