4 August 2015

CHADEMA; Lowasa ndiyo mgombea wa urais kupitia chama chetu

Bwana lowasa ndiyo mgombea wa urais kupitia chama cha chadema .

Yapita wiki moja baada ya kukihama chama tawala cha CCM ambapo alikuwa mwanachama zaidi ya miaka 30.

Lowasa alifeli katika jambo lake la kutaka kugombea uraisi kupitia chama cha ke cha zaman cha CCM.


No comments: