6 August 2015

DIAMOND AONESHA CHUMBA CHA MWANAWE MTARAJIWA

Baada ya platnumz kueleza kuwa anatarajiwa kuitwa baba hivi karibuni,na kusema kuwa mungu kama atajaalia atakuwa mtoto wa kike.

basi leo hii ameamua kushare video hii ya second 15 akionesha jinsi chumba cha mwanae jinsi walivyo kiandaa,huku diamond akiwa ameshikilia viatu vya mtoto mtarajiwa.

No comments: