Katika ukurasa wake wa instagram msanii huyu anaye vuma africa ameamua kushare na sisi picha ikionesha mama mtot(Zari), na mama yake nasibu akiwa amembeba mjukuu wake.
maneno hato yalisomeka hivi katika kurasa ya insta ya diamond
‘My mom’s face it’s enough to Express how i feell
… Welcome to the world@princess_tiffah
>>> Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu
… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘ >>>> @
No comments:
Post a Comment