6 August 2015

LIPUMBA AJIVUA UWENYEKITI CUF(VIDEO)

Siku chache baada edwad lowasa kujiunga na umoja wa ukawa kupitia chama cha UKAWA.

Leo hii lipumba 6/8/2015 ameamua kuweka wazi kujitoa na kuachana rasmi na mambo ya ukawa na siasa kiujumla na kuwa mwanachama wa kawaida

angalia video hapa na unipe maoni yako kuhusu uwamuzi wake.

No comments: