Jumba hilo ambalo amelinunua siku chache kwa dola milioni 18 sawa na bilioni 30 za kitanzania.
jumba hilo ambalo lipo marekani new york limempa rumous CR7 ya kuwa anataka kwenda kumalizia mpira wake nchini huko kabla hajastaafu.
Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hiyo alilipata kutoka katika novel ya’50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mapngo wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka.
No comments:
Post a Comment