GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Hatimae mpaka mechi inakwisha hakuna ambae amelichungulia goli la mwenzie na kutoka sare tasa ya 0-0.
Huku pert check akionesha umuhimu wake wa kutua arsenal kwa kulinda lango la mzee wenger kwa hali ya juu baada ya benteke na continho kudakiwa mipra yao ambayo wali kuwa wao na kipa.
vikosi ambavyo walitumia timu zote mbili ni hivi.
Liverpool XI (4-3-3): Mignolet; Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez; Can, Lucas, Milner; Firmino, Benteke, Coutinho.
Arsenal XI (4-2-3-1): Cech; Bellerin, Chambers, Gabriel, Monreal; Coquelin, Cazorla; Ramsey, Ozil, Sanchez; Giroud
Na mpaka sasa liver ipo nafasi ya 3 ikiwa na point 7, na arsenal ipo nafasi ya 9 ikiwa na point 4.
NITAENDELEA KUKUSOGEZEA MATOKEO YOTE YA LIGI MBALIMBALI USIKOSE.
No comments:
Post a Comment