GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Laykan haIPERSPORTY ndiyo kampuni ilio tengeneza gari hilo ambapo mpaka sasa imetengeneza magari 7 tuu.
Bei ya gari hilo ni Dola millioni 3.4.
Licha ya urembo wa nje gari hilo lina urefu wa mita 4.480 na upana 1.944
Injini yake ambayo inauwezo wa kubeba lita 3.7 ya mafuta, inauwezo wa kuongeza speed kutoka 0 mpaka 100 kwa sekunde 2.8
No comments:
Post a Comment