GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Leo hii mgombea uraisi kwa chama cha chadema amesema amewatembelea wananchi wa GONGO LA MBOTO na kupanda daladala mpaka MBAGALA RANGI TATU.
amesema lengo lake ni kuona kero wazipatazo wananchi wa kawaida ili kuzishuhudia kwa macho yake ki uhalisia na si kwa kuhadithiwa, icheki picha yake
No comments:
Post a Comment