AZAM FC YAANZA VIZURI
Ni katika kombe la Kagame Azam fc pindi ilipocheza na dhidi ya KCCA katika uwanja wa Taifa azam iliibuka na ushindi wa bao 1-0.
John Boko ndiye aliyefunga bao dakika ya 12 mara baada mchezo kuanza,pasi ikitokea kwa Shomari kapombe
No comments:
Post a Comment