19 July 2015

DIAMOND BEEF NA DIAMOND

DIAMOND AMPIGA DONGO KIDOTI

 

Baada ya diamond kuchukua tuzo ya MTV MAMA jana usiku leo ameposti video ikimwonesha joketi akicheza nyimbo ya mdogomdogo na kuandika post chini yake iliosomeka "mbona bado,mtanyooka tu...>>>>@diamondplatnumz

1 comment:

Anonymous said...

kibongobongo