20 October 2016

VIATU(CHACHACHA) VYA ERIC BAILLY VYAMSHANGAZA JUAN MATA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Wachezaji wa Manchester United, Juan Mata na Ashley Young wamejikuta wakivishangaa viatu vya beki wa kati wa timu hiyo Eric Bailly, ambavyo kwa huku bongo tunaviita “Chachacha” na kumfanyia utani wa kuvituma kwenye mitandao ya kijamii.Viatu hivyo walivipost katika mtandao wa instagram.

No comments: