GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Baada mpira kuanza goli la kwanza likifungwa kwa penalty na mchezaji ghali duniani POGBA dakika 31.
Huku bao la pili likifungwa dakika ya 34 kwa penalty na MATIAL.
Goli la tatu likifunga pia na POGBA pasi ikitoka kwa nduguye LINGARD.
Kipindi cha pili W.ROONEY akapiga bao la 4 pasi ikitokea kwa LINGARD.
Huku dakika zikiyoyoma VAN PERSIE mchezaji wa zamani wa man u ambaye sasa anachezea timu ya FENERBANCE akaipatia timu yake bao la kufutia machozi dakika ya83.
Na mpaka mpira unaisha matokeo ni 4-1
No comments:
Post a Comment