11 August 2015

VANESSA NA PLATINUMZ WATAJWA KWENYE TUZO ZA CANADA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Tukiachana na tuzo zilizo tolewa hivi karibuni zilizo tolewa south(MTV MAMA 2015).

Wawili hawa wametajwa tena kuwania tuzo zijulikanazo kama Africa Entertainment Award(AEA)za nchini CANADA.

Vanessa ametwajwa kuwania kipengele cha International best african female artist, ambapo atachuana na victoria kimani wa kenya na yemi alade na seyi shay wa Nigeria.

Diamond ye atapambana katika category ya International best african male artist,ambapo ye atachuana na AKA wa africa kusini,sarkodie wa ghana na olomide wa nigeria.

Tuzo hizo zitatolewa siku ya jumamosi  5 september 2015 jijini Missisauga,ontario ambao itakuwa ni mwaka wanne kwa kutolewa tuzo hizo.

No comments: