11 August 2015

PICHA ZA BOMU LA NYUKLIA NA NDEGE ILILOLITUPA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO


Hii ndio ndege ilio tupa bomu la nyuklia,ndege hiyo iliitwa kwa jina la BOCKS CAR.
Rubani wake aliitwa meja jenerali charles sweeney, alirusha ndege hiyo kutoka kisiwa cha mariana.



Ni miaka 70 imepita tangu bomu hilo lilivyo pigwa na ndege za kijeshi za marekani.



Majengo yote na viwanda vilisambaratika.



zaidi ya watu 70000 waliangamia.



jinsi waasirika wa bomu hilo walivyo ungua miili yao.



wengi wao zaidi walikufa kutokana na miale ya bomu hilo la nyuklia.

No comments: