Makubaliano ya amani ya kusitisha mapigano kwa masaa 48 yameanza kufanyiwa kazi kati ya waaasi muungano syria na vikosi vinavyo iyunga mkono serikali katika miji mitatu.
Makubaliano hayo yamenuiwa kwa kuruhusu kusafirisha chakula na dawa katika eneo linalodhibitiwa na waasi la zabadani katika mpaka wa lebanon na katika vijiji kaskazini mwa nchi inayodhibitiwa na jeshi la syria.
Shirika la kutetea haki la syria linasema makubaliano hayo yameafikiwa kati ya serikali na vikosi vinavyo iunga mkono Iran na kwa upande wa waasi na Ahral al-sham,mshirika wa kundi la Al nusra front.
No comments:
Post a Comment