26 August 2015

NIMEKUSOGEZEA HIZI CHACHE KUTOKA INSTAGRAM ZA LEO

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
shilolekiuno
Mtanyoooka CCm ndo mpango





diamondplatnumz

Halaf kweli kesho na Kesho kutwa mtu anakuja anasema Ooh flani freemason ooh mara flani Sjui Anabebwa, ooh sjui Anaroga wakati mtu anaHaso na kujituma 24/7  kila mtu anaona.... mi nakuheshim sana @joh_makini na Team yako nzima ya WEUSI kwa juhudi na Harakati zenu za kilasiku mnazozizidisha...Mwenyez Mungu Aendelee kuwasmamia na Kuwabariki✊

No comments: