26 August 2015

BAADA YA MAJONZI YA KIFO CHA MWANAWE BOBBY BROWN KWA MARA YA KWANZA AONEKANA JUKWAANI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Baada ya Kifo cha Mwanaye kwa mara ya Kwanza Bobby Brown aonekana Jukwaani.

Baba wa familia ya Marehemu Whitney Houston, ambaye pia ni mwanamuziki Bobby Brown alikuwa kimya kwa muda baada ya familia ya kifo cha Mke na Mtoto wake.
Kifo cha Whitney Houstone ambaye ni mama mtoto wa Bobby kilitokea mwaka 2012 huku mwanaye Bobby Ckristina kikitokea July 26, 2015, vifo hivyo vilimchanganya sana Bobby Brown na kusababisha kukaa mbali na maswala ya sanaa.
Lakini hatimaye, mwanamuziki huyu Mkongwe kwa mara ya kwanza jumapili ya august 23 alionekana kwenye moja ya jukwaa la Hollywood.
Bobby
Bobby Brown akiwa Jukwaani
Haikutegemewa kama mkongwe huyu atakuwepo maeneo hayo, lakini ghafla aliwashtukiza mashabiki kwa kupanda jukwaani na kuongea maneno machache.
Bobby alisimama mbele ya jukwaa na kutoa maneno ya shukrani kwa wadau wote wa sanaa walivyoweza kuisaidia familia yake kutokana na matatizo aliyopitia.

No comments: