15 August 2015

NIMEKUSOGEZEA HAYA MATOKEO YA ASTON VILLA VS MANCHESTER UNITED

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO

Aston Villa 0-1 Manchester United: Januzaj strikes for unconvincing Red Devils

Katika mchezo huo januzaj ndiye aliyetumbukiza goli nyavuni baada ya kupokea pasi kutoka kwa juan mata.

goli hilo lilipatikana dakika ya 29.

Mpaka mwisho wa mchezo mpira uliisha kwa man u wakiibuka na ushindi wa 1-0 na kufikisha point 6 jumla.



No comments: