BABY IRIS, ndiyo jina la boti hiyo ilioharibiwa kwa vilipuzi baada ya serikali ya kenya kuikamata ikiwa na kilo 7 za heroin.
Polisi wamesema kuwa boti hiyo inamilikiwa na bwanyenye raia wa ungereza.
Boti hiyo ilikamatwa katika bahari ya kenya huko mombasa na imeharibiwa kutokana na sheria za kenya.
jeshi la wanamaji ndiyo imekabidhiwa zoezi hilo la kuiripua boti hiyo, na ilifanya kiadilifu baada ya kuiwekea vilipuzi na kuilipua.
No comments:
Post a Comment