Siku chache kupita baada ya Pedro kutua chelsea na van gal kulaumu uongozi uliokuwa unashughulikia swala hilo.
Basi man u wamepata pigo jengine baada ya real mardrid kumuongezea mkataba beki wao wa tangu 2007 PEPE na mkataba huo utakao isha 30/june/2017.
No comments:
Post a Comment