Licha ya kuaga idira hiyo imempa tuzo Raisi kikwete kutokana na mambo aliyoifanyia idara hiyo ya mahakama.
Tuzo hiyo amekabiziwa na mheshimiwa jaji mkuu wa tanzania mohamedi chande othman.
Kafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mahakama kuu dar es salaam 6/8/2015.
ghafla hiyo iliandaliwa na mahkama na wadau wa sheria.
No comments:
Post a Comment