6 August 2015

AZAM FC YAMPELEKEA KOMBE LA CECAFA KIKWETE IKULU

Leo hii 6/8/2015 azam fc wameamua kufika ikulu jijini dar es salaam na kumkabizi kombe la CECAFA ambalo walilitwaa siku chache bila ya kupoteza mechi katika mzunguko mzima.

licha ya hivyo walipiga picha ya pamoja.

No comments: