11 August 2015

JAPAN YA FUFUA KIWANDA CHAKE CHA NYUKLIA

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO


Siku chache baada ya japan kuazimisha miaka 70 ya bomu la nyuklia lililopiga na wanajeshi wa marekani leo nakuletea habari hii kuwa japan kuamu kufufua moja ya viwanda vyao yvya umeme wa nyukilia.

Tukio hilo la kufufua kiwanda hicho kilichopo sendai kimepingwa na raia wake wa japan kufuatia kiwanda cha fukushima cha huko huko japan kuvuja kwa sumu miaka minne iliopita na kuleta madhara.

Mtengenezaji wa umeme wa kiwanda cha sendai ametumia jumla ya dola milioni 20 kukarabati kinu hicho.

No comments: