11 August 2015

BURUNDI YATAKIWA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UPINZANI

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO
Rais wa burundi piere nkurunziza

UN imeitaka serekali ya burundi kuanzisha tena mazungumzo na upinzani.tamko hilo lilitoka katika mkutano ulioitishwa na ufaransa jana.

Hali imekua ikizidi kuzorota kila kukicha katika eneo la maziwa makuu.

Kuzorota kwa nchi hiyo na kutokuwa na hali ya usalama kumesababishwa na rais NKURUNZIZA kutangaza kugombea kwa muhula wa tatu ambao upinzani imepinga kwani ni kinyume na katiba inavyosema.

teyari nkurunziza ameshapita tena na kurudi madarakani kwa muhula wa tatu.

No comments: