22 August 2015

AZAM FC VS YANGA PENALTY NGAO YA HISANI 2015/16

GENERAL NEWS,BURUDANI,MICHEZO,MASTAA BONGO,VIDEO



Nimekusogezea majina ya wachezaji ya timu zote mbili ambao waliopiga penalty waliokosa na waliopata, baada ya dakika 90 na nyiongeza 3 kuisha ilikuwa ni mshike mshike.
Wacheki hapa chini

YONDANI-YANGA (ANAPATA)
AME-AZAM (ANAKOSA)
TWITE-YANGA (ANAPATA)
KAPOMBE-AZAM (ANAPATA)
KAMUSOKO-YANGA (ANAPATA)
NYONI-AZAM (ANAPATA)
MWASHIUYA-YANGA (ANAPATA)
MIGI-AZAM (ANAPATA)
COUTINHO-YANGA (ANAPATA)
MORRIS-AZAM (ANAPATA)
3-3
TAMBWE-YANGA (ANAPATA)
WAWA-AZAM (ANAKOSA)
KASEKE-YANGA (KAPATA)
HIMID-AZAM (ANAPATA)
NIYONZIMA (ANAPATA)
BOCCO-AZAM (ANAPATA)
CANNAVARO-YANGA (KAKOSA)
KIPRE-AZAM (KAPATA)

No comments: