19 July 2015

STERLING AWAOMBA RADHI LIVERPOOL


Raheem sterling amewaomba radhi mashabiki wa liverpool kwa kitendo chake cha kuondoka bila ustaarabu.
lakin amesisitiza kuwa ataifanyia makubwa timu yake mpya ya man city.

sterling 20,aliyehamia manchester city mapema wiki hii  kwa kitita cha pauni milioni 49 ambacho kimemfanya kuweka rekodi yakuwa mchezaji mwingereza ghali zaidi ,hakuondoka kistaarabu katika kilbu yake ya Anfield. 

No comments: