
Taarifa rasm kutoka TCRA ni kwamba sheria rasmi ya mitandao itaanza kutumika September 2015.
Kwa Tanzania kwa sasa kumekuwa na uvumi mwingi sana kwenye mtandao,na habari za uzushi na uchochezi.Na wale ambao wanatumia majina ya wakubwa kwa kuzusha mambo na wanaotumia mitandao vibaya,yote hayo watadili nayo.
nitaendelea kukuletea habari motomoto usichoke kutembelea page yangu.
No comments:
Post a Comment