Marekani imemuonya salva kiir kuheshimu na kuulinda mkataba wa amani aliosaini jumatano mjini juba.
Kiir alikuwa amekataa kusaini mkataba huo wiki iliopita mjini adsi ababa nchini Ethiopia.
salva ameeleza kuwa na wasiwasi wa mkataba huo wa amani katika kugawana madaraka na waasi.
mkataba huo unanuiwa kumaliza mizozo kati yake na waaasi.
Na usitiswaji wa mapigano hayo unapaswa kumaliza mapigano ndani ya masaa 24, na majeshi ya kigeni kuondoka nchini humo.
hakuna wanajeshi watakao ruhusiwa kufika katika mji mkuu juba
No comments:
Post a Comment